DHULMA DHIDI YA WAISLAMU WA KILINDI-NEGELO
16:36-Na bila shaka tulipeleka mitume ktk kila umma ya kwamba hakuna wa kumuabudu ila m/mungu na wajiepushe na twahuti.Wapo miongoni mwao walioongoka na wako miongoni mwao waliopotoka.
43:63-Alipofika Isa na dalili zilizo wazi,akasema nimek
veja mais ...
ujieni na ilimu nikuelezeni yale ambayo mmetofautiana.
16:64-Hakika tumeteremsha kitabu isipokuwa uwabainishie yale ambayo wametofautiana,ndani yake ni muongozo na rehema kwa watu walioamini.
35:31-Na kitabu kilichoteremshwa kwa njia ya wahyi ndio kinasadikisha yale yaliyokuwa kabla yetu,na m/mungu kwa waja wake ni mwenye kuwajua na mwenye kuwaona.
64:2-Yeye ndiye aliyekuumbeni kuna wengine ni makafiri na miongoni ni waumini na m/mungu anayaona mnayoyafanya.
43:64-Na kwa hakika m/mungu ndiye mola wenu(mtawala wenu),basi muabuduni(mtumikieni) na hii ndio njia iliyonyooka.
42:13-M/mungu anatuambia,sheria aliyopewa Isa,Musa,Ibrahimu ni sawa na sheria aliyopewa Muhammad
Kama tunaposoma tunaposwali tunafanya maombi tunakiri kwamba m/mungu atuongoze ktk njia iliyonyooka Qur(1:6),je hatujui ya kwamba kauli ya m/mungu ndio njia ya mola wetu(mtawala wetu),kama alivyoeleza ktk Qur(15:41),msemo(kauli ya m/mungu) ndio njia iliyonyooka na akaeleza njia hiyo anaionyesha kwa namna ipi? Rejea ktk Qur(6:126)-na hii ndio njia ya mola(mtawala) wako iliyonyooka ni ipi,ni ile kauli ktk Qur(15:41).
Huzipambanua aya kwa watu wenye kufikiri,ktk upambanuzi wake akasema maneno ktk Qur(6:153)-na hakika hii ndio njia yake m/mungu iliyonyooka,basi tuifuate(amri),kwa hiyo kule kupambanua aya ndio anaamrisha tuifuate njia yake,wala tusifuate vijinjia ikatutenga sisi na njia yake na njia yake ameisifu namna hii ktk Qur(6:115)-Yametimia maneno ya mola(mtawala) kwa ukweli na uadilifu.
Kutokana na aya hiyo tumeona maneno yake yametimia ili tuifuate njia yake na pia maneno yake yanathibitisha tusifuate vijinjia ikatutenganisha na njia yake,na akasema pia ktk Qur(6:116)-na kama mtawatii wengi hawa waliopo ulimwenguni,watakutengeni na njia ya m/mungu.
Katika Qur(20:49)-akasema Firauni mola(mtawala) wenu ni nani ewe Musa,akasema mtawala wetu ni yule aliyeumba kila kitu akakipa muongozo,hivyo mola(mtawala) wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ikiwa mnayakini.,vile vile ieleweke ikiwa mnayakini ktk Qur(44:7).
Pia ktk Qur(45:36)-m/mungu anajieleza,sifa zote njema ni za m/mungu mtawala wa mbingu na ardhi na walimwengu wote,baada ya m/mungu kusema yeye ni mtawala wa walimwengu wote,anauliza swali
Dez. 6, 2013, 9:57 p.m. GMT
Convidado
Ninyi radio one hamna lolote, kazi kujitangaza kuwa mnapatikana online lakini hampatikani hata siku moja.
djqcanada (You) habari We are SIMBA PORI (The Wild Lions of Kilimanjaro) with a NEW CD 'Message Sent', produced by Canadian Daniel Quinlan, 8 great songs sung in English by Kiwsahili singers, how can we get you some Mp3's or a CD of the songs, any direction would be great Thank you
Maio 28, 2013, 11:35 a.m. GMT
Convidado
jamani muwe mnatangaza phone no zenu mara kwa mara incase tunataka kushiriki promotions zenu
Dez. 6, 2012, 8:20 a.m. GMT
Convidado
jaman nataka ratiba ya vipindi vyenu
Out. 15, 2012, 6:49 p.m. GMT
Convidado
Jamaani naomba msaaada wa kukipata kipindi cha hizi nazo live...
Set. 21, 2012, 6:54 a.m. GMT
Convidado
Need some news....
Ago. 24, 2012, 12:48 p.m. GMT
Convidado
Kitenge na katanga mko juu hampepesi macho wala hamng'ati maneno,simba hao vijana watunzeni 2one faida yao baadaye yasitukute ya twite tena.gerald mwanga niko afrikana
Nenhum comentário ainda. Seja o primeiro a postar um
This website uses cookies for analytics and personalization. Click here to learn more or change your cookie settings. By continuing to browse, you agree to our use of cookies.