
Safina Radio - FM 92.5 - Arusha
Ao vivo
Safina Radio
Sobre Safina Radio
Safina Radio FM is a broadcast radio station from Arusha, Tanzania, providing African music.
Frequência
92.5 FM
Idioma
Suaíli
Avaliações dos ouvintes
Naitwa Lilian wa Arusha namshukuru Mungu wa Safina kwa matendo yake makuu nimekuwa nikikesha nayo Hakika Mungu amenionekania ameniponya naomba kwa kongamano hili yaliyosalia yakaondoke kabisa, na mwanangu Faith akapate grade A kwenye mitihani yake ya Taifa na Mungu akampe shule nzuri ya kutoka kwake.
Naitwa Melise niko Ilazo Dodoma, hakika radio SAFINA imenitoa mbali sana, namshukuru Mungu na ninawashukuru watumishi wote wa hii radio ambayo nimeifahamu baada ya kuhamia Dodoma miaka nitatu iliyopita. Hakika nimebadilika sana sana na ninatamani siku moja nifike madhabahuni SAFINA.
NAITWA GLORY WIMMO KUTOKA DODOMA, MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WA SAFINA ,PAMOJA NA MUHASIS WA SAFINA DOCTOR LEMA .NAZIDI KUBARIKIWA SANA KUPITIA MASAFA YENU KWENYE MTANDAO.BARIKIWA SANA WATUMISH.
MBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU, NABARIKIWA SANA SANA KWA MAFUNDISHO NA MAOMBI KUPITIA MTANDAO. NIPO UK.
I am Anthony Massawe: Spiritual broadcasting, leading in all East Africa. Mungu azidi kuwabariki muweze kuenea mikoa yote ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Am teddy from mwanza, real namiss sana maombi ya radio safina japo huwa nasikiliza online, hasa napotafakari neema na baraka nilizozipata pindi nahudhuria maombi katka ukumbi wa radio safina, hakika nlimwona mungu kwa macho yng hasa kwa matendo makuu na ya ajabu aliyoyatenda kwangu n meng na ya ajabu sana mpaka nkikaa nakutafakari huwa najikuta nalia tu,heshima sifa shukrani na utukufu ni kwa bwana yesu
Bwana yesu asifiwe watumishi wa Radio Safina mungu awazidishie nguvu,nawapata vizuri hapa Australia
Mungu wa mbinguni awabariki sana Watumishi wa Radio Safina, nawasikiliza kila siku, huku ni Uholanzi yaani Netherlands europe. Ni baraka kubwa sana kusikia vipindi vya Neno la Mungu kwa kiswahili ukiwa nje ya nchi. Mbarikiwe sana. Neema Kalugila
MERCY C MUNUO MAOMBEZI NA MHUBIRI YAMENIBARIKI SANA MUNGU AZIDI KUWAFUNULIA MAFUNDISHO NASI TUWEZE KUFUNDISHA WATU WENGINE ILI TUZIDI KULITANGAZA NENO LA YESU KRISTO ABARIKI SAFINA MPATE TV SAFINA MIMI NATEBEA NANO LA YESU KRISTO MAFUNDISHO YA SAFINA NI MAZURI SANA
MERCY CHRISTOMFOO MUNUO MUNGU WABARIKI WATUMSHI WA SAFINA KATIKA KULITANGAZA NENO LA YESU KRISTO NA SISI KULIPOKEA NA KULITENDEA KAZI YA KUMWOMBA MUNGU AWE KIONGOZI WA MAISHA YETU NA KULITENDEA KAZI
Perguntas frequentes
Aperte Play nesta página para ouvir Safina Radio ao vivo e de graça, sem precisar de uma conta. Você também pode ouvir no celular com o Simple Radio, o app gratuito do Streema para iOS e Android.
Safina Radio é uma estação de Afrobeats e Entertainment. Safina Radio FM is a broadcast radio station from Arusha, Tanzania, providing African music.
Sim. O Streema reproduz o stream online oficial da estação, então você pode ouvir de qualquer país, desde que a estação não restrinja o sinal por região.
Safina Radio tem avaliação média de 4,0 de 5, com base em 24 avaliações de ouvintes no Streema.
Às vezes os streams online saem do ar por causa dos servidores da própria estação. Tente de novo em alguns minutos, verifique sua conexão ou experimente outra estação de Arusha.
Não. O Streema é um diretório de rádios independente. Você pode visitar o site oficial de Safina Radio em radiosafina.co.tz. Se você administra esta estação, pode sugerir uma atualização desta página.
Mais rádios em Arusha
Em outros idiomas
- Ver esta página em inglês: Listen to Safina Radio online
- Ver esta página em francês: Écouter Safina Radio en ligne
- Ver esta página em espanhol: Escuchar Safina Radio en vivo
- Ver esta página em alemão: Safina Radio online hören







